Ni
watu 30 wamenusurika kifo huku 21 wakipata majeraha mbalimbali wakiwa kwenye
basi la Saibaba lilipota ajali likitokea Dar es salaam kwenda Songea kwenye
eneo la Vigwaza mkoani Pwani.
Polisi
wanasema ajali imetokea asubuhi baada ya hili basi hilo likiwa na abiria 51
kutaka kulipita gari jingine likiwa kwenye mwendo kasi lakini likamshinda
dereva na kupinduka ambako haraka majeruhi walikimbizwa hospitali ya Tumbi
Kibaha.

PICHA NA MCHOMEBLOG.COM








No comments:
Post a Comment