Mshindi wa Redd's Miss Temeke 2013, Sviona Nyameyo (katikati), ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akiwa na mshindi wa pili, Narietha Boniface, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Muhimbili (MUHAS), na mshindi wa tatu, Latifa Mohamed ambaye ni muhitimu wa kidato cha sita baada ya kutangazwa washindi katika shindano hilo lililofanyika TCC Club Chang'ombe, Dar es Salaam
Endelea kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini
Mshindi wa Pili
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu ambaye alikuwa mgeni rasmi akimkabidhi mshindi wa kwanza wa shindano hilo, Sviona Nyameyo zawadi ya sh.milioni 1.
Mkurugenzi wa Rio Gym $ Spa, Said Othman (kulia), akimkabidhi kadi itakayo muwezesha Mkurugenzi wa BMP Promotion, Beny Kisaka ambaye ni muandaaji wa mashindano ya Redd's Miss Temeke kuingia katika Gym hiyo kufanya mazoezi kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kuwa muandaaji bora wa mashindano hayo kwa zaidi ya miaka 15. Gym hiyo ipo kwenye Jengo la Quality Centre Barabara ya Nyerere. Kadi hiyo imelipiwa sh. milioni 1.4.
Source: Millad Ayo

















No comments:
Post a Comment