HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2013


 Rais Kikwete akitoa neno la Matumaini katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013.
Eric Shigonga naye akitoa neno la Matumaini wakati wa tamasha hilo.


Endelea kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini





 Wabunge wa Simba na Yanga wakipasha misuli kabla ya mtanange wao kuanza.

 Wabunge wa Simba na Yanga wakipasha misuli kabla ya mtanange wao kuanza.
 Wabunge wa Simba na Yanga wakipasha misuli kabla ya mtanange wao kuanza.


 Rais Kikwete akielekea kukagua timu.
Mwimbaji nyimbo za injili, Martha Mwaipaja akiwa kazini
Mwimbaji nyimbo za injili, Sarah K akiwapa raha mashabiki.


Flora Mbasha na mumewe wakicheza sambamba.
Mwimbaji nyimbo za injili, Jessica akiwaburudisha mashabiki.
 Akiwakagua Yanga.
 MMhhh Umeshiba au?
 Rais Kikwete akisalimiana na Halima Mdee


Rais Kikwete akisaini mpira utakaotumika.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kupuliza kipenga kuashiria kuanza kwa mechi ya wabunge Simba na Yanga.





 Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia baada ya kuwalaza watani wao Simba (Wabunge) kwa penati 4-3.

Nahodha wa Bongo Fleva, Hamis Baba 'H Baba' akipokea kombe kutoka kwa Mhe. William Ngeleja. Timu ya Bongo Fleva imeibuka kidedea kwa kuichapa Bongo Muvi mabao 3-2 katika mchezo wao wa leo kwenye Tamasha la Matumaini 2013. Mpaka filimbi ya mwisho inapulizwa mabao yalikuwa 1-1 ndipo zikaamriwa penalti na Bongo Fleva kuibuka kifua mbele kwa penalti 2-1.
 Bongo Fleva wakisherehekea ushindi wao.
Bongo Muvi baada ya kichapo. 





SOURCE: GPL

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: