
MILIPUKO mikubwa miwili imetokea leo nje ya misikiti katika jiji la
Tripoli lililopo Kaskazini mwa Lebanon jirani na Syria. Katika milipuko
hiyo, watu 42 wanadaiwa kupoteza maisha, wakati 350 wakijeruhiwa.
Milipuko hii imeongeza mvutano nchini Lebanon ikiwa ni matokeo ya vita
ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea nchini Syria kati ya wafuasi na
wapinzani wa utawala wa Rais wa Syria, Bashar Assad.
Wananchi wakiwa wamekusanyika eneo la mlipuko nje ya msikiti wa Sunni uliopo jijini Tripoli, Lebanon.
Wananchi wakiangalia uhalibifu uliotokea baada ya mlipuko.
Endelea kutizama tukio hili kwa kubofya hapa chini
Magari yaliyohabiriwa katika mlipuko huo.
Mwananchi huyu akchukua picha katika simu yake ya mkononi.
Source: Yahoo
No comments:
Post a Comment