HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA YA LEO: HIVI NI LINI VITA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ITAKWISHA?

Bw Sangali Athuman mkazi wa  Kibaya  Kiteto  mkoa  wa Manyara  akiugulia maumivu yaliyotokana na mgogoro  wa ardhi kati ya wakulima na  wafugaji ,waliomvamia  shambani  kwake na kumcharanga mapanga ,Bw Athuman kwa  sasa amefariki  dunia.(Picha na Francis Godwin)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: