Leo tarehe 23 August ni siku ya kuzaliwa blogger MC Barack wa BukobaWadau Blog anapenda kuwashukuru wote wanao mtumia salama
za pongezi pia wote wanaonitumia zawadi mbalimbali kiukweli hana cha kuwalipa
zaidi ya kuuweka upendo wenu moyoni mwake shukrani kwa team nzima ya bukobawadau
blog pia shukrani kwa mablogger wenzake kwa ushirikiano mkubwa wananaompa.
HAPPY BIRTHDAY BROTHER
No comments:
Post a Comment