Wimbi la watanzania
kusafirisha madawa ya kulevya linaendelea kushika kasi na tarehe 19/8/2013 polisi
mjini Sharjah na wale wa Dubai wamefanikiwa kuwakamata watu watano ,
mmoja wapo raia wa Tanzania wakiwa na kilo 19 za Heroin na kilo 4 za Bangi. Kwa sheria za hawa jamaa kuhusu madawa ya kulevya ni kifungo cha
maisha.
Endelea kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini
Source: Gulfnews
No comments:
Post a Comment