HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RITA PAULSEN ADAI NAY WA MITEGO NI MSANII MBUNIFU, AMKARIBISHA ATUMBUIZE KWENYE EBSS

Rita Paulsen hana mpango wa kumshtaki Nay wa Mitego kwa kuichafua Bongo Star Search kwenye Salam Zao. Infact aliusikia wimbo huo hata kabla ya haujatoka.
Madam Rita alikuwa akiongea kwenye U Heard ya Clouds FM leo ambapo amezikanusha tetesi zilizopo mtaani kuwa amemfungulia kesi ya ‘defamation’ Nay kutokana na kuzusha kwenye wimbo huo kuwa washindi huwa hawalipwi fedha zote.
“Hata muda wa kuongelea hicho kitu naona ni wastage of time. He is not worth my time,” alisema Rita.
Hata hivyo, Madam Rita amesema Nay ni mbunifu na ametumia fursa hiyo kuimba wimbo uliokuwa gumzo baada ya kutoka.
“He is creative, big up to him, very creative you man.” Amesema hana tatizo kama Nay akiperform kwenye show hiyo na hata kama akiuimba wimbo huo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: