Mzee Chilo akizungumza na vyombo vya habari katika
uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin
Promotion chini ya Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza
kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii
na uzinduzi kwa ujumla.(Picha zote na Pamojapure Blog)
Wadau wakiwa wametokelezea kwenye blog yetu
JB na yeye alikuwepo katika
uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin
Promotion chini ya Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza
kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii
na uzinduzi kwa ujumla.
Ilikuwa ni shangwe
Meza
ya Viongozi wa Kampuni ya Proin Promotions Limited Kuanzia Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Proin Promotions Limited Bw Geofrey
Lukaza, akifuatiwa na Pedeshee Mamaa Ng'onzi, Bwa Johnson Lukaza
Mwenyekiti waa Makampuni ya Proin Tanzania, Gadna G Habash na Lady Jay
Dee aka Anaconda wakiwa makini Kufuatilia Uzinduzi Mzima wa Filamu Mpya
ya Lulu iitwayo Foolish Age uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City
chini ya Kampuni ya Proin Promotions Limited.
Elizaberth Michael (Lulu) akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotion chini ya Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii na uzinduzi kwa ujumla, Uzinduzi huo unafanyika jana usiku
Wema
Sepetu (aliyepiga magoti) akikumbatiana na Mama yake mzazi Lulu wakati
wa Uzinduzi wa Filamu ya Mwanae Elizabeth Michael katika Ukumbi wa
Mlimani City, uzinduzi uliokwenda sambamba na burudani kutoka Kwa
Wasanii mbalimbali wa Muziki wa Bongo Fleva katika Ukumbi wa Mlimani
City usiku wa Kuamkia leo.
Paul
SekaBoy Mkurugenzi Wa Sekaboyi Production akiwa na rafiki yake katika
uzinduzi wa Filamu ya Lulu iitwayo Foolish Age katika Ukumbi wa Mlimani
City Usikuwa kuamkia leo
Wadau
wakisakata Mduara katika uzinduzi huo wa filamu ya Lulu iitwayo Foolish
Age uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa kuamkia leo,
Uzinduzi huo wa Kufa mtu uliofanywa na Kampuni ya Proin Promotions
Limited ulifana kupita Kiasi
Elizaberth Michael (Lulu) akiendelea kuzungumza na wageni waalikwa
Mwanamuziki Barnaba Classic akiimba kwenye uzinduzi huo.
Mkurugenzi
mkuu wa kampuni ya Proin Promotions Limited Geofrey Lukaza (Kushoto)
akiwa na Waifu wake Groly Lukaza (katikakati) pamoja na Pedeshee Mamaa
Ng'onzi
Hii ndio filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotionikiwa inaoneshwa moja kwa moja
Hii ndio filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotionikiwa inaoneshwa moja kwa moja
Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Ege.
Msanii wa muziki Lady Jay Dee aka Komando aka Anaconda akituzwa wakati akitoa burudani safi sana katika Uzinduzi wa Lulu ndani ya Ukumbi wa Mlimani city uzinduzi uliofanyika jana usiku
Lulu akiimba na Lady Jaydee wimbo wa Yahaya
Kajala(Kushoto) na Wema (kulia) wakiselebuka kwenye uzinduzi wa Filamu mpya ya Lulu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin
Promotion chini ya Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza
kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii
na uzinduzi kwa ujumla.
Elizaberth
Michael (Lulu) akiwashukuru wageni waalikwa katika uzinduzi wa filamu
ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotion chini ya
Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea kwa hali na mali
mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii na uzinduzi kwa ujumla,
Uzinduzi huo unafanyika jana usiku
Mc Godwin Gondwe wakitoa shukrani kwa wadau waliofika kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya Lulu
Tapeli Dude akifanya mambo yake wakati wa uzinduzi huo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.
Waigizaji wa filamu na wageni mbalimbali wakifuatilia filamu ya Lulu.
PICHA ZOTE NA PAMOJA/PAMOJAPURE BLOG NA LUKAZA BLOG
PICHA ZOTE NA PAMOJA/PAMOJAPURE BLOG NA LUKAZA BLOG
No comments:
Post a Comment