HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KATIBA MPYA: CHADEMA, CUF NA NCCR- MAGEUZI WAKUTANA NA WANAHABARI LEO

 
 Hii ilikuwa leo katika hotel ya Courtyard Dsm , wameamua kuweka wazi juu ya katiba na mwelekeo wa pamoja.(Picha na Jamii Forum)

Wenyeviti wa vyama vya Siasa vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi leo wamekukutana na wahariri na waandishi wa habari kueleza mikakati na mbinu watakazozitumia kunusuru taifa lisiingie kwenye utungaji wa Katiba mpya itakayobeba masilahi ya chama tawala.


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: