Kiogozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai akikata utepe wa jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani wakati wa uzinduzi iliyoko Tabata Segerea jijini Dar es Salaam.(Picha na Pamojapure Blog)
Kiogozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai akizindua jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani iliyoko Tabata Segerea jijini Dar es Salaam
Mkimbiza mwenge ndugu Seperatus N. Lubinga akitoa neno kwenye kwenye uzinduzi wa wa jengo la shule ya sekondari ya Migombani leo
Mkimbiza mwenge akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa jengo la shule ya Migombani leo mchana wa leo.ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Kiogozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai(kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi katika uzinduzi wa jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani wakati wa uzinduzi iliyoko Tabata Segerea jijini Dar es Salaam



No comments:
Post a Comment