HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » AJALI YATOKEA ENEO LA MIGELA, MJINI BUKOBA LEO MCHANA

 Ni ajali ya Gari lililokuwa limebeba shehena ya ngano limepinduka maeneo ya Migela ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba, gari hilo lenye namba ya usajili T893 BPZ mali ya kampuni ya AZAM na kuna uwezekano kuwa na watu kadhaa wamepoteza maisha, kutoka na vifaa vinavyotumika kuokolea kuwa duni.(Picha na Mc Baraka wa BukobaWadau Blog)
 
Mguu ukionekana kwa nje katika gari lililopata ajali ambalo lilikuwa limebeba ngano

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Hivi ndivyo watu wanavyojaribu kutumia magongo ya miti katika zoezi la uokoaji wa maisha ya mmoja wa raia anayeendelea kutahabika baada ya kupindukiwa na gari hilo lililokuwa limebeba shehena ya ngano.


BUKOBAWADAU BLOG  

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: