HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » DAWASCO WAGOMA KUZIBUA CHEMBA ZA MAJI MACHAFU BAADA YA KUPEWA TAARIFA, WANANCHI WAHOFIA MAGONJWA YA MLIPUKO

 Haya ni maji machafu yaliyogeuka na kuwa mto baada ya wananchi kutoa taarifa kwa DAWASCO bila kupta msaada wowote
 Inasikitisha maana eneo hili lililoko nyuma ya maghorofa ya JWTZ maeneo ya Mwenge sasa maji machafu yamekuwa kama mto

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


 Huu ndio uchafu unaotoka kwenye chemba hizo ila cha kusikitisha wananchi wametoa taarifa zaidi ya mara tano huko DAWASCO bila mafanikio yoyote

Watoto sasa wameugeuza na kuwa mto wa kuloa samaki


 Hii ni mojawapo ya chemba inayotoa maji mchafu


Inasikitisha sana DAWASCO kutokuja kuzibua chemba za maji taka na kupelekea wananchi wanaoishi eneo hilo kuwa kero

 Tazama kinyesi kikiwa kimejitenga kwenye maji hayo machafu


Vingozi wa DAWASCO mmeliona hili?


Hakika kweli mwenye nacho abakie nacho hivyo... hivi wananchi kulia kote takribani wiki nzima kuwaomba na kuwanyenyekea dawasco waje kuzibua chemba za  maji taka lakini bila kujali hawajafika , wamepigiwa simu hadi leo mida ya sa sita mchana wamepokea simu, lakini hawajafika....

Mbaya zaidi simu imepigwa kwa muhusika moja kwa moja mida ya saa kumi lakini nae hakupokea simu hiyo kwa kuona kuwa ni kero kwake maana wananchi wataomba swala hilo hilo 

sasa je hili ni jukumu la nani? wananchi wamlilie nani? je kama hawa wahusika wangekuwa wanakaaa mtaa huu ambao unaitwa ni mtaa wa mavi wangependaaa

"Hebu tusaidieni jamani tunakufa na hii harufu mbaya, hatulali na tunaogopa magonjwa ya mlipuko." alisema mmoja wa wakazi wa eneo hili 


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: