HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » LULU AOMBA MUNGU AFANYE MIUJIZA KWENYE RUFAA YA BABU SEYA NA PAPII KOCHA OCT 30

 Rais Jakaya Kikwete akipokea Mkuki wakati akisimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena na mmoja wa wawakilishi wa Wazee wa Kabila hilo,kwenye wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa wa Mpya wa Njombe.
 Wazee wa Kabila la Wabena wakimsimika Uchifu Rais Jakaya Kikwete.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


 Chifu Mpya wa Kabila la Wabena, Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wakazi wa Mkoa Mpya wa Njombe
 Chifu Mpya wa Kabila la Wabena,Rais Jakaya Kikwete akiteremka Jukwaani baada ya kusimikwa Uchifu wa Kabila hilo na kuwahutubia wananchi wa Mkoa wa Njombe
 Machifu wa Kabila la Wabena wakiwa kwenye picha ya Pamoja.
 Pongezi zikiendelea.
Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mkewe Mama Salma Kikwete baada ya kusimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena,wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa wa Mpya wa Njombe.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: