HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAANDALIZI YA JUKWAA LA SERENGETI FIESTA 2013 VIWANJA VYA LEADERS CLUB


 Pichani ni sehemu ya maandalizi ya jukwaa la kisasa kabisa la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar,tamasha hilo ambalo litawajumuisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya zaidi ya 50 wakiwemo na wageni kutoka nchini Nigeria linatarajiwa kufanyika kesho jumamosi ndani ya viwanja vya leaders club,ambapo kiiingilio kimepangwa kuwa ni shilingi 10,000 na 15,000 kwa mtu mmoja.


ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: