Moto ulioleta hofu katika eneo la viwanda la Vingunguti jijini Dar es Salaaam leo, ukiteketeza mali ghafi ya kiwanda cha plastiki cha OK Plastics Limited, ambao ulisambaa eneo hilo na kuleta tafrani baada ya mtu ambaye anashikiliwa na polisi kuchoma mabaki ya malighafi hizo. (Picha na Francis Dande)
Mfanyakazi wa kiwanda hicho akitoka katika eneo la tukio.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI



No comments:
Post a Comment