HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MABOMU YARINDIMA TAIFA MCHEZO WA SIMBA NA KAGERA SUGER

Baada ya Kagera Suger kupata bao la kusawazisha dhidi ya Simba katika dakika ya 90 Polisi wamelazimika kutumia mabomu kutuliza ghasia baada ya mashabiki wa Simba kuanzisha vurugu katika uwanja wa taifa. 

Simba ilikuwa mbele kwa goli moja lililofungwa na Hamisi Tabwe katika dakika ya 45 kipindi cha kwanza bao lililodumu hadi dakika ya 90 ya mchezo Kagera waliposawazisha kwa mkwaju wa penati na vurugu hizo kuanza.
Inaelezwa kuwa viti zaidi ya 30 vimevunjwa uwanjani hapo jambo ambalo linaweza kuigharimu timu ya Simba huku Polisi wakimshikilia mtu mmoja. 

HABARI NA FATHER KIDEVU BLOG 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: