
Washiriki walioingia kwenye probation
Watanzania hawana haja ya kuwaza wiki hii kwakuwa wawakilishi wao kwenye shindano la Tusker Project Fame msimu wa sita, Hisia na Angel wako salama.
Jumla ya washiriki watano wameingia kwenye probation wiki hii ambao ni Jennifer, Bior, Fess, Undercover Brothers na
Mitchel.
Mitchel.

Fess
Akielezea sababu za washiriki hao kuingia probation, Jaji Ian alisema mwaka huu shindano hilo halitafuti wasanii wa kawaida bali wenye vipaji na uwezo mkubwa zaidi Afrika Mashariki.
Mitchel



No comments:
Post a Comment