HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: MSANII WA TAARABU NCHINI 'NYAWANA FUNDIKIRA', AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU

 
Mwanamuziki wa muziki wa taarab Nyawana Isale au Maarufu Nyawana Fundikira aka Mamaa Matashtiti amefariki leo hii mchana jijini Dar es Salaam alipokuwa akikimbizwa hospitalini baada kuzidiwa. Na pia inasemekana amefariki kwa Maralia

MTANDAO WETU HUU WA PAMOJA/ PAMOJAPURE UNATOA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI 

R.I.P NYAWANA FUNDIKIRA

SOURCE: TIMES FM

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: