HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » JKT RUVU YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 4 KWA 0 KUTOKA KWA YANGA


 Mfungaji wa mabao mawili ya timu ya Yanga dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Mrisho Ngasa akishangilia bao lake la kwanza katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanjawa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Mshambulijia wa Yanga, Hamis Kiiza akiwa katika harakati za kufunga.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA  KUBOFYA HAPA CHINI

Wachezaji wa Yanga wakishangilia.
Beki wa JKT Ruvu akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Kiungo wa JKT Ruvu, Nashon Naftal akimtoka Mrisho Ngasa.
Simon Msuva akichuana na Kessy Mapande wa JKT Ruvu.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la tatu lililofungwa na Oscar Joshua.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: