HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KERO YA LEO:JE HIKI KIFOLENI CHA HAPA KUINGILIA MLIMANI CITY MALL NA KUELEKEA CHUO KIKUU KINASABABISHWA NA NINI?


 Ni mvurugano tuu
 Hapa ni mchanganyiko maana barabara hiyo kuna njia mbili, moja ya kwenda na nyingine ya kurudi lakini cha ajabu unakuta njia tatu yamepanga ynayoelekea njia moja kama picha invyoonesha na kusababisha foleni zisizokuwa na msingi


 Foleni hii inasababisha mpaka magari ya Barabara kuu yasiweze pita vizuri
 Baadhi ya magari mfano Defender hii haijurikani inatokea wapi 
 Foleni tuu hapa
Mbabe ndiye anaweza katiza

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: