HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MTANZANIA MWINGINE AVAMIWA NA KUUMIZWA VIBAYA HUKO NAIROBI


Huyu ni mtanzania aliyevamiwa huko Nairobi na kuumizwa vibaya hapo jana na amejitamburisha kwa police waliomuokota kama Dr.Juma Maliki .Tunapenda kuwaomba yeyote anayemfahamu awasiliane na na ndugu zake maana ana hali mabaya na hakuna aliyejitokeza kumjua .Amelazwa Kenyatta National Hospital na hakuna taarifa zaidi ya hizi.(na kwa sasa hawezi kuongea)

CHANZO: JAMII FORUM


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: