HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: WANANCHI WENYE HASIRA WACHINJA HADI KUUA WATOTO WAWILI WA DIWANI WA CCM MKOANI MBEYA



Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili, mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.

Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.

Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana, wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi, kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.

Endelea kututembelea ili kupata habari kamili

CHANZO: JAMII FORUM

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: