HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » UPDATES:AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA IGURUSI; WATU WATANO WAFARIKI HAPOHAPO

Ajali hii imetokea muda huu ikihusisha lori kubwa na gari ndogo.Namba za gari hazikuweza kupatikana,maana gari ndogo imechakaa vibaya mno na mvua inanyesha kubwa sana.. Police ndio wamefika kuchukua majerui na miili ya marehemu.

Endelea kutufuatilia tutakupatia habari kamili

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: