Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya TAHLISO wakiwa katika picha ya Pamoja
Mwenyekiti wa Muda aliyeratibu upatikanaji wa tume Bi. Teddy
Ladislaus ( Makamu wa Rais wa Chuo cha Mzumbe) akihitimisha zoezi
hilo hapo jana.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwenyekiti wa Muda aliyeratibu upatikanaji wa tume Bi. Teddy
Ladislaus ( Makamu wa Rais wa Chuo cha Mzumbe) akisalimiana na Katibu
wa Tume ya uchaguzi Bi. Fatma Othman , Katikati ni Mwenyekiti wa Tume
hiyo Bw.Mansou Mshauri.
Mwenyekiti wa Tume Bw.Mansou Mshauri. akizungumza na wajumbe wa Mkutano mkuu wa TAHLISO
Tume iliyochaguliwa ikiwa mbele ya Mwenyekiti wakati wa kula kiapo kabla ya kuanza kazi hapo jana
HAWA NI BAADHI YA WAGOMBEA
HAWA NI BAADHI YA WAGOMBEA
No comments:
Post a Comment