HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: RAIA 200 WAFARIKI WAKITOROKA VITA SUDANI KUSINI

 
Zaidi ya watu 200 raia wa Sudan Kusini wamezama katika ajali ya ferry kwenye mto Nile wakikimbia vita vinavyoendelea katika mji wa Malakal.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi la Sudan Kusini.
 Boti hiyo iliyozama, ilikuwa imewabeba watu wengi kupindukia. Watu haowalikuwa wanatoroka vita vinavyotokota katika mji wa Malakal.
 Mapigano yalizuka Sudan Kusini mwezi Disemba mwaka jana baada ya Rais Salva Kiir kumtuhumu aliyekuwa makamu wake wa Rais Riek Machar, kwa kuwa na njama ya kumpindua.
  Umoja wa Mataifa unasema kuwa zaidi ya watu 1,000 wameuawa tangu ghasia kuanza nchini humo.
CHANZO: BBC SWAHILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: