HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS:MAJENGO YALIYOKARIBU NA PETROL STATION YA VICTORIA ILIYOKO SIDO VINGUNGUTI YANAUNGUA NA MOTO MUDA HUU

Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet, Barabara ya Nyerere karibu na Sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa chana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali bado si shwari. Sehemu iliyoathirika zaidi  ni ghala la kutunzia dawa za binadamu la kampuni ya Philips.




 PICHA NA MDAU SHUMBUSHO

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: