HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HAYA NDIO MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOTOKEA NJE YA MAHAKAMA KUU WAKATI WA HUKUMU YA KESI YA ZITTO KABWE

Vijana wakiwa wamebeba mabango nje ya mahakama kuu leo wakati wa hukumu wa kesi ya Zitto Kabwe.
Ulinzi ulikuwa ni wakutosha mahakama kuu leo wakati wa  hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe

ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Ni baadhi ya vijana wakiwa na mabango yanayoonesha ujumbe katika mahakama kuu wakati wa hukumu ya kesi ya Mh Zitto Kabwe

Hakuna mtu aliyeruhusiwa kuingia ndani ya mahakama labda kama una kibali maharumu

Polisi wakiwatawanya wafuasi wa chama cha CHADEMA waliofika mahakamani hapo

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: