HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SAFARI YA MWISHO YA MAHEREMU SULTAN SEKILO ALIEKUWA MWEKA HAZINA WA TASWA


 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Sultan Sikilo,aliekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na mchezaji wa timu ya Waandishi wa Habari za Michezo TASWA Fc ambaye pia alikuwa Mtangazaji wa Radio Aboud ya Mjini Morogoro,ukitolewa ndani ya Nyumba yao,eneo la Mbagala Maji Matitu kwa ajili ya kusaliwa na kuanza kwa safari ya kwenda mashikoni.
Waumini wa Kiislam wakiswalia Mwili wa Marehemu Sultan Sikilo.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Sultan Sikilo likiwa limebebwa tayari kwa safari ya kwenda kwenye nyumba ya Milele.
Wadau mbali mbali wakishirikiana kubeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Sultan Sikilo.
Taratibu za Mazishi.
Wadau mbali mbali wakishiriki kwenye mazishi la Marehemu Sultan Sikilo leo kwenye Makaburi ya Kibada,Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: