HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MPIGIE KURA MUIGIZAJI JUMA RAJAB AWEZE SHINDA TUZO YA AFRIKA


Kumbuka kumpigia kura Muigizaji Juma Rajab Rashid a.k.a Cheche ili aweze kushinda tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume kwenye Tamthilia kwa kutuma ujumbe mfupi kwenda namba +2783142100415 au kwenye mtandao- huu  http://goo.gl/o72lu5 !  Kumbuka kuwa unaweza kupiga kura mara nyingi zaidi kila baada ya saa moja. Umoja wetu ni Ushindi kwa Mtanzania mwenzetu

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: