HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA SNURA - "UKO NYUMA SANA"

Baada ya mashabiki kuomba sana Snura kuimba wimbo wa taarabu sasa ameamua kusikiliza vilio vya  mashabiki wake na nakutoa wimbo mmoja wa taarabu na kusema asante kwa mashabiki wake wimbo huo unaitwa "Uko nyuma Sana" - kinanda kimepigwa na Thabit Abdul na aliyepiga gitaa ni Jumanne Ulaya au j4.Usikilize hapa

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: