Mmoja wa majeruhi wa
ajali hiyo akiwa Amelazwa Pembeni baaada ya kupewa msaada.
Ajali
mbaya imetokea muda si mrefu eneo kati ya Wami na Segera,ajali hiyo
imesababishwa na gari aina ya Noah ambayo ilikuwa inatokea Moshi mjini
kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa gari hiyo na pia
dereva alikuwa anasinsiza hali hiyo iliyopelekea kucha njia na kuenda
kuivaaa gari ya mizigo kwa mbele.Gari hiyo ya noah pia ilikuwa imebeba
watu kupita uwezo wake ambapo abiria zaidi ya kumi na mbili walikuwa
ndani ya gari hiyo.Mpaka chanzo chetu kinaondoka eneo la tukio hakuna
aliyepoteza maisha bali watu ni majeruhi walioumia vibaya sana.
Huyu pia ni mmoja wa
majeruhi ambaye ameumia vibaya sana kwenye mguuu wake
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Watu wakiendelea kutoa
msaada kwa majeruhi wa ajali hiyo
Hii ndi gari aina ya Noah
ambayo imepata ajali ikiwa imeharibika vibaya kwa mbele
Huyu mama ameumia vibaya
sana kwa kupasuka kwenye paji la usoo








No comments:
Post a Comment