HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » UPDATES: WAZIRI WA FEDHA, DR. WILLLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA!


Taarifa ya kuaminika iliyoifikia hivi Punde toka nchini Afrika Kunisi,inaeleza kuwa Waziri wa Fedha,Dkt. William Mgimwa (pichani) amefariki Dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Mediclinic Kloff,alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Mh. Mgimwa alikuwa akisumbuliwa na Maradhi ya Presha ambayo yalikuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

Mungu aiweke mahala pema peponi roho yake
Amin.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: