HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WANANCHI WENYE HASIRA KALI SINGIDA WACHOMA BASI

Leo asubuhi basi la abiria  la kampuni ya Mtei Express likitoka Sindida kwenda Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira maeneo ya Njia panda Mnadani, mkoani Singida baada ya bus hilo kugonga pikipiki yaani bodaboda na kuua watu watatu hapo hapo. 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: