HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WAZEE WA FEVA HAMJALIONA HILI KWENYE BARABARA YA MANDELA JIJINI DAR ES SALAAM?

 Magari makubwa yakiwa yamepaki kwenye barabara ya Mandela kuanzia TOT  mpaka Mwananchi ambapo imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii.
Hii imekuwa kero kwa watu wengi wanaoitumia barabara ya Mandela kwani magari haya yachukua nafasi kubwa ya barabara
Pia kuna magari mengine yamepaki kwenye service roads 

CHANZO: PAMOJA BLOG

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: