HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MTI WADONDOKA NA KUZIBA BARABARA YA TRA ENEO LA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM

 Magari yakipita kwa shida kwenye eneo hilo la barabara  baada ya mti kuanguka kwenye na kupelekea foleni kubwa eneo hilo la Mwenge.
 Foleni kubwa ya magari iliyosababishwa na kuanguka kwa mti huo katika barabara ya TRA eneo la Mwenge jijini Dar leo

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Magari yakipishana kwa shida baada ya mti huo kudondoka barabarani kutokana na mvua zilizokuwa zinanyesha pamoja na upepo.
Magari yalilazimika kutumia njia moja kwani eneo hili lilikuwa limezibwa na mti huo uliodondoka kwenye eneo la barabara.

PICHA NA PAMOJA BLOG

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: