HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » ALIYEKUWA MSANII WA BONGO MOVIE "RECHO" PAMOJA NA MWANAE WAAGWA NA KUZIKWA KWENYE MAKABURI YA KINONDONI

 Majeneza yenye miili ya Recho na mwanaye ikiwa eneo la Leaders kwa ajili ya kuagwa na kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni
  Mume wa Rachel aitwaye Saguda akiwa akiaga mwili wa mke wake pamoja na mtoto wake
  Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akiaga mwili wa aliyekuwa msanii wa Bongo Muvi, Rachel Haule 'Recho' leo kwenye viwanja vya Leader Club.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI



 Ndugu wa Marehemu akiaga mwili wa msanii wa Bongo Muvi, Rachel Haule 'Recho' pamoja na mwili wa mwanae leo kwenye viwanja vya Leader Club
 
Wasanii wakiaga mwili wa marehemu recho
 Wasanii wakiwa wameshika picha na msalaba wakielekea kwenye makabiri ya Kinondoni kwa ajili ya mazishi.
 Wasanii wakiwa wamebeba mwili wa Recho pamoja na mwili wa mtoto wake wakitoka kwenye viwanja vya leader wakielekea kwenye makaburi ya Kinondoni.
 Wasanii wakiongoza msafara kuelekea makaburini
 Gari lililobeba mwili wa Recho na Mwanae likitoka kwenye viwanja vya Leaders Club
Mwili wa marehemu Recho pamoja na Mwili wa Mwanae ukifikishwa kwenye makaburi ya Kinondoni kwa ajili ya mazishi
Mchungaji akitoa neno kwenye mazishi
Mwili wa marehemu Recho ukishushwa kwenye kaburi
Jeneza lililobeba mwili wa mtoto wa marehemu Recho ukishushwa kwene kaburi
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakiwa kwenye mazishi ya Msanii mwenzao
Wanafamilia wakiweka mchanga kwenye Kaburi la Marehemu Recho pamoja na mwanae
Mchumba wa marehemu, George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Racho na mwanae.
Msanii Blandina Chagula 'Johari' akiweka udongo kaburini

Mchumba wa marehemu, George Saguda (kushoto) akiweka msalaba katika kaburi la Racho na mwanae.
Mchumba wa marehemu, George Saguda (kushoto) akiweka sha la maua katika kaburi la Racho na mwanae.
Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi la Recho.


Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.








Watumishi wa Mungu (katikati) wakifanya maombi baada ya kumaliza maziko

Waombolezaji wakiwa kwenye makaburi ya Kinondoni
 Msanii Kajala akiwa na wasanii wenzake kwenye mazishi Marehemu Recho kwenye makaburi ya Kinondoni.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: