HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » GARI LATEKETEA KWA MOTO NA KUTELEKEZWA PEMBEZONI MWA BARABARA YA ALI HASSAN MWINYI KARIBU NA KITUO CHA MABASI MOROCO

Gari lenye namba za Usajili T 671 AYH likiwa limeteketea kwa moto katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa pembezoni Mwa barabara hiyo eneo la Moroco karibu na Mataa. Gari hilo ambalo kwasasa huwezi kulitambua ni aina gani ya gari limetekea lote na kupelekea kuwa kivutio kwa wapita njia wa barabara hiyo. Hapo wapita njia wakiliangalia gari hilo lililoteketea kwa moto.
 Wapita Njia wakiangalia gari lililoteketea kwa moto pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa eneo la Moroco karibu na Mataa ya kuongozea magari.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
Kijana mpita Njia akilipiga picha
 Mmoja wa wapita njia akilikagua gari hilo lililoteketea kwa moto mapema leo na kutelekezwa pembezo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Moroco karibu na Mataa ya Kuongozea Magari.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: