HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAJI HAYA SI SALAMA KWA MATUMIZI YA KIBINADAMU


Wakazi wa eneo la Isanga jijini Mbeya wakichota maji yaliyotuama katika barabara ya eneo hilo kwa wakati tofauti kwa ajili ya matumizi mbali mbali nyumbani kwake kama alivyonaswa na Kameta yetu,hii ni hali ya hatari sana kwa maisha ya binadamu hasa kutokana na kuwepo kwa wimbi la magonjwa ya mlipuko.Picha na Fadhil Atick, Mbeya.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
Baiskeli zinapita hapo hapo.
Magari pia yanapita hapo hapo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: