HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAMBO KAMA HAYA MTAANI KWETU NI KITU CHA KWAIDA

 

KATIKA pitapita ya kamera yetu leo mtaani imewanasa vijana wawili wakipigana hadharani kisa kikidaiwa kuwa ni simu ya mkononi.Vijana hao walikuwa wakipigana maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar ambapo walijaza watu

 ambapo ilidaiwa kwamba mmojawapo ni fundi wa bajaji ambaye aliachiwa simu rehani na kumpa huyo kijana shilingi elfu mbili lakini baada ya kurudi na kutaka arudishiwe simu yake akakuta amebadilishiwa hali ambayo ilisababisha washikane mashati na kuanza kupigana huku wakijaza watu kibao

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: