Msanii mkubwa wa filamu Tanzania, Salma Jabu
kwa jina la usanii anaitwa Nisha amezidi kupasua anga baada tathimni ya
mashabiki wake kuongezeka kila siku na mpaka akiingia kwenye mialiko mikubwa
watu wana weweseka na kutaka kupiga picha nae na filamu zake kugombaniwa na
media mbalimbali kutaka kuzitangaza yeye mwenywe anaema ana mshukuru mungu hapo
alipofikia.
-
No comments:
Post a Comment