Salma Jabu "Nisha" apania kufungua biashara mbalimbali ili aweze kufikia
malengo baaada ya saloon, yupo mbioni kufungua biashara nyingine ambayo
hakutaka kuweka wazi ni kutokana na maslahi zaidi anasema anajisikia
furaha zaidi akiwa mjasiilamali kwa sababu itamfanya awe na maendeleo
zaidi kwani kabla ya filamu alikuwa mfanyabiashara.
-




No comments:
Post a Comment