HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MWILI WA MTU WAOKOTWA KWENYE MTO MZINGA, KONGOWE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwili wa mtu huyo ukielea kwenye maji ya mto Mzinga.
 Kamera yetu leo hii imenasa mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es Salaam.
Mwili baada ya kutolewa nje kabla ya kuzikwa na jiji. 
Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa harufu kali ilikuwa ikitoka eneo hilo na ndipo waligundua maiti hiyo ambayo waliikuta ikiwa
meharibika kwa kiasi kikubwa.
 PICHA NA GPL

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: