HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WAHUSIKA MNAKIONA KINACHOENDELEA KWENYE MTO MBEZI?


  Pamoja na kupigwa marufuku mara kadhaa wachimabji hawa bado wameendelea kuchimba mchanga katika Mto Mbezi huku wakijaza magari makubwa yasiyo na idadi na tena wakifanya kazi hii mchana kweupe  bila hata kuwa na woga. 
Wachimbaji hawa wamekuwa wakifanya hivi kila inaponyesha mvua kubwa inayokusanya mchanga mwingi kutoka eneo jingine kusogeza eneo hili, na wao wamekuwa wakiuhamisha mchanga huo kwa kuuchimba na kuupakia katika magari na kisha kwenda kuuza. Zoezi hili linachangia mmomonyoko mkubwa wa kingo za mto huo ambako nyumba kibao zipo.
Picha na Michuzi Blog

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: