HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WAHUSIKA TAA HIZI ZINAFAA KUWEKEWA SOLAR

Hapa ni njia panda ya Tabata na taa za kuongozea magari zimezimika sijui ni Luku imekwisha au ndo upiagaji sijaelewa. Kwani sehemu zote kuna umeme lakini kwenye taa hizi hakuna. Nilichowaomba wahusika taa hizi zifungiwe Solar ili kuondoa kero katika eneo hili.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: