YALIYOJIRI KWENYE BAJETI YA WIZARA YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI ILIPOJADILIWA BUNGENI

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe. Prof. Anna Tibaijuka akiwa amebeba Makabrasha wakati akielekea kwenda kujibu hoja za Waheshimiwa Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015.
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna Tibaijuka akijibu Hoja za Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015. 

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe.George Simbachawene akimpa mkono wa kumpongeza Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna Tibaijuka mara baada ya kumaliza kujibu hoja za Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna Tibaijuka akiongozana na Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe.George Simbachawene wakati wakielekea kwenda kuandaa hoja za kujibu wabunge, wakati Bunge lilipojadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015.
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna (kulia) akizungumza na baadhi ya waandishi wa Habari wanaoripoti habari za Bunge, wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015.Picha na Deusdedit Moshi.

No comments

Powered by Blogger.