HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON WAAGWA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB LEO

 Mwili wa marehemu George Tyson ukifika kwenye viwanja vya Leaders Club leo kwa ajili ya kuagwa.
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Vipindi vya TV na Muongozaji wa filamu, Marehemu George Tyson aliyefariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro(May 30) ameagwa leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam tayari kwa kusafirish hadi nchini Kenya kwa mazishi Jumamosi ijayo (Juni 15)
 Dada wa Marehemu Doreen akiwa ameshika picha ya kaka yake baada ya mwili wake kufika kwenye viwanja vya Leaders
 Mwili wa Marehemu George Tyson ukipelekwa eneo la kuagia

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Baada ya mwili kufikishwa eneo husika
Mboni akiwa Mboni akiwa na mtoto wa Marehemu na Monalisa akilia kwa uchungu
Msanii wa muziki akiimba wimbo wa maombi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akizungumza jambo kwenye viwanja vya Leaders, Dar
 Wanafunzi wa shule ambayo marehemu alitoka na team yake ya mboni show kutoa madawati
Mwakilishi wa wasanii wa Mwanza
Rafiki kipenzi wa marehemu akilia kwa uchungu
Mboni akilia kwa uchungu alipokuwa anazungumza jambo
Joyce Kiria akilia kwa uchungu alipokuwa anazungumza jambo
Mwakilishi wa TV 1 akizungumza jambo


Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akizungumza jambo
Rais wa shirikisho la filamu Mwakifamba


Meya wa Ilala Jerry Slaa akizungumza
Mke wa marehemu
Mtumishi wa Mungu akitoa neno kwenye shughuli za kuaga
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akiaga mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' katika Viwanja vya Leaders, Dar.


Wasanii wa filamu ambao wametengenezwa na marehemu George Tyson
Mke wa marehemu akilia kwa uchungu alipokuwa anauaga mwili wa mme wake
Mtoto wa marehemu akiaga mwili wa baba yake mpendwa
Dada wa marehemu akilia kwa uchungu alipokuwa anaaga mwili wa ndugu yake
Joyce Kiria akilia kwa uchungu allipokuwa anauaga mwili wa marehemu George Tyson

Mtoto wa marehemu akiaga mwili wa baba yake
Monalisa akiaga mwili wa marehemu George Tyson
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Halima Kiemba akiaga mwili wa marehemu














Mzee Chilo akiaga

Dk Cheni akiaga



















«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: