HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA SIKU YA KITAIFA YA WAKAMERUNI MJINI DORTMUND,UJERUMANI


Dortmund,Ujerumani,
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka "FFU-Ughaibuni,
ukipenda waite viumbe wa ajabu "Anunnaki" au " watoto wa mb..wa" yenye makao kule
ujerumani, bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika siku maalumu ya taifa ya kameruni,

katika onyesho la "Cameroon Challenge" siku ya jumamosi kuanzia saa 11 jioni, mjini
Dortumund,Ujerumani.

Ngoma Africa band imealikwa na umoja wa wakameruni ughaibuni,ambao ndio wandaaji
wa onyesho hilo la wazi, wakameruni takribani 20,000 waishio ujerumani watachanganyika na wadau wa mataifa mengine kusakata muziki wa Ngoma Africa band,muziki ambao
wapenzi wa bendi hiyo wanaufananisha sawa na gwaride la FFU.

wasilike FFU Ughaibuni at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: