HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MARY LUCOS ANAOMBA KURA YAKO KWENYE MASHINDANO YA NANI MKALI CLOUDS TV

DSC_0248

Habari Marafiki, Wapenzi na Mashabiki nimeingizwa kwenye mashindano ya nani mkali Clouds Tv ni mwanamke pekee kwenye kinyang’anyiro kumtafuta Mwanamuziki bora wa bendi wa mwaka.
Tafadhali sana nahitaji sana kura zenu ili niweze kushinda.
Kupiga kura tuma sms andika MKALI 1 kisha tum kwenda 15678 hapo utakua umenisapoti sana mtu wangu wanguvu, love you all.
Mary Lucos wa Skylight Band.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: