FILAMU YA KINYONGO KUTOKA TAREHE 08/09/2014

Baada ya kuvuma sana kwenye tamthilia ya Siri ya Mtungi hatimae aja na filamu yake ya “Kinyongo” produser Daudi Michael ” Duma” pia anawaambia mashabiki wake wakae tayari kununua nakala yako mapema itakapofika siku hiyo.

No comments

Powered by Blogger.